Mwathiriwa wa pili wa kisa cha moto uliotokea katika shule ya upili ya wavulana ya Steph Joy alizikwa Jumamosi. Edwin Mugo mwenye umri wa miaka 15 alipoteza maisha yake mikononi mwa wanafunzi walioamua kuteketeza bweni la shule hiyo. Mazishi hayo yalifanyika katika kaunti ya Nyeri.
The post Mwanafunzi wa pili wa mkasa wa shule ya Stephjoy azikwa Nyeri appeared first on Mediamax Network Limited.