https://www.youtube.com/watch?v=4xXhLHEYMDI
Benki ya Chase imefunguliwa tena, baada ya kufungwa kwa muda wa wiki tatu. Wateja wa benki hiyo walifurika kwenye matawi ya benki kuendesha shughuli za kutoa pesa na kuweka akiba. Kwa sasa benki hiyo inaendesha shughuli zake chini ya benki ya KCB, ambayo imeamua kununua hisa nyingi za Chase, na hivyo basi kuifanya kuwa mmumiliki mkubwa zaidi wa benki hiyo.
The post Benki ya Chase yafungua matawi yake tena baada ya majuma matatu appeared first on Mediamax Network Limited.