Quantcast
Channel: NEWS – Mediamax Network Limited
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12346

Magaidi 11 wadaiwa kupanga mashambulizi nchini

$
0
0

Most-wanted-criminals 2

Huku sherehe na mbwembwe za kirismasi zikikaribia, Wakenya wameshauriwa kuwa waangalifu zaidi kufuatia ripoti kwamba kuna magaidi 11 ambao wanapania kufanya mashambulizi wakati wowote msimu huu wa likizo. Kulingana na habari za ujasusi, magaidi hao wametambuliwa kuwa waliojihami kwa silaha hatari zaidi na tayari wamo nchini wakipanga kutekeleza unyama. Tayari baadhi ya sehemu humu nchini zimeweka mabango makubwa yenye picha za baadhi ya magaidi hao.

The post Magaidi 11 wadaiwa kupanga mashambulizi nchini appeared first on Mediamax Network Limited.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 12346

Trending Articles