Mjadala kuhusu uwakilishaji wa kijinsia sasa umechukua mkondo mpya baada ya kesi ya kutaka kutambuliwa kwa jinsia ya tatu ambayo sio ya kike wala kiume. Kwenye kesi hiyo, jinsia hiyo inataka kutengewa nyadhfa za uwakilishi ikisema kwamba wanachama wake bado hawatambuliki.
The post Watu wa jinsia mbili wanataka watambulike kama makundi mengine appeared first on Mediamax Network Limited.